1 / 9

TAARIFA ZA MJUMBE (hiari)

SEHEMU A: UHUDHURIAJI NA USHIRIKI

5 Bora Sana 4 Bora 3 Wastani 2 Chini ya Wastani 1 Hafifu
Kigezo Kiwango
Nahudhuria mikutano yote ya Bodi kwa wakati.
Najiandaa vizuri kabla ya mikutano kwa kupitia nyaraka zote.
Nashiriki kikamilifu katika mijadala ya Bodi.
Natoa maoni yenye kujenga na yanayosaidia kufanya maamuzi.
Nahudhuria mikutano ya dharura inapohitajika.

SEHEMU B: MAADILI NA UTAWALA BORA

5 Bora Sana 4 Bora 3 Wastani 2 Chini ya Wastani 1 Hafifu
Kigezo Kiwango
Nadumisha usiri wa taarifa za Bodi.
Naepuka mgongano wa maslahi.
Nafanya maamuzi kwa maslahi ya TWCC.
Naheshimu Kanuni na Katiba ya TWCC.
Ninazingatia maadili ya uongozi.

SEHEMU C: UELEWA WA MAJUKUMU YA BODI

5 Bora Sana 4 Bora 3 Wastani 2 Chini ya Wastani 1 Hafifu
Kigezo Kiwango
Ninaelewa majukumu ya Mjumbe wa Bodi.
Ninaelewa Mpango Mkakati wa TWCC.
Ninaelewa sera na miongozo ya chama.
Ninaendelea kujifunza kupitia mafunzo na semina.

SEHEMU D: USHIRIKIANO NA UONGOZI

5 Bora Sana 4 Bora 3 Wastani 2 Chini ya Wastani 1 Hafifu
Kigezo Kiwango
Nashirikiana vizuri na Wajumbe wengine wa Bodi.
Nashirikiana vizuri na Menejimenti.
Naheshimu maoni ya wengine wakati wa mijadala.
Ninatoa nafasi kwa wengine kuchangia.
Ninasuluhisha tofauti kwa njia ya kitaalamu.

SEHEMU E: USIMAMIZI WA TAASISI

5 Bora Sana 4 Bora 3 Wastani 2 Chini ya Wastani 1 Hafifu
Kigezo Kiwango
Nachangia katika upangaji wa mikakati ya TWCC.
Nafuatilia utekelezaji wa maamuzi ya Bodi.
Nachangia maamuzi kuhusu sera na bajeti.
Napitia taarifa za kifedha kwa umakini.
Nafuatilia utendaji wa programu za TWCC.

SEHEMU F: UWAKILISHI WA KANDA

5 Bora Sana 4 Bora 3 Wastani 2 Chini ya Wastani 1 Hafifu
Kigezo Kiwango
Nawasiliana mara kwa mara na wanachama wa kanda yangu.
Nawakilisha maoni ya wanachama katika Bodi.
Nashiriki shughuli za kanda yangu.
Nawasilisha mrejesho wa maamuzi ya Bodi kwa kanda yangu.

SEHEMU G: TATHMINI YA JUMLA

HAKIKI NA WASILISHA

Umefikia mwisho wa fomu. Tafadhali hakikisha umejibu maswali yote ya kiwango (1-28) kabla ya kuwasilisha.

Maswali yaliyojibiwa: 0/28

Taarifa zote zitahifadhiwa kwa usiri na zitatumika kwa madhumuni ya kuboresha utendaji wa Bodi pekee.