FOMU YA TATHMINI YA UTENDAJI WA MJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI

UTANGULIZI

TWCC imeandaa fomu hii kwa ajili ya kutathmini utendaji wa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi katika kutekeleza majukumu yao ya kiuongozi na kiusimamizi.

Lengo la tathmini hii ni:

Taarifa zote zitahifadhiwa kwa usiri na zitatumika kwa madhumuni ya kuboresha utendaji wa Bodi pekee.

MAELEZO

Tafadhali weka alama kwenye kiwango kinachoonyesha hali halisi ya utendaji wako:

5 - Bora Sana 4 - Bora 3 - Wastani 2 - Chini ya Wastani 1 - Hafifu